加载中...
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Ukuaji wa Kiuchumi Kila siku, tunatuma barua pepe nyingi, kuzungumza kupitia simu za video, kutafuta vitu kwenye wavuti wa Google, kutumia huduma za usambazaji wa maudhui kama vile YouTube au Netflix kwa ajili ya burudani, na kufanya miamala ya benki. Kupashana habari na kubadilishana taarifa kwa kufumba na kufumbua. Hii imekuwa ni sehemu ya kawaida ya maisha yetu, swali ni je, unafahamu nini kinachofanya yote yawezekane?

Habari Nyinginezo

Amani na Usalama Mikakati mitatu ya WHO ya kutokomeza saratani Wananchi Sudan Kusini wako njiapanda kuamua wasonge mbele na amani au waendelee na machafuko. UNCDF yaleta matumaini kwa wakulima Dodoma, Tanzania kupitia mradi wa umwagiliaji
Amani na Usalama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema anafuatilia kwa karibu kinachoendelea huko eneo la Tigray nchini Ethiopia, ambako mvutano unaoibuka upya na taarifa za mapigano vimechangia kuzorota kwa hali ya usalama.